Ziara ya Bodi ya TBC kanda ya ziwa

0
155

Baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo Stephen Kagaigai pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayub Rioba Chacha, wanaendelea na ziara yao katika mikoa ya Kanda wa Ziwa.

Wakiwa mkoani Mara pamoja na mambo mengine, wajumbe hao wametembelea kituo cha kurushia matangazo ya redio katika mlima wa Balili, Bunda Mjini.