Zanzibar kuboresha Uchumi wa Bahari

0
212

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya awamu ya saba imejitayarisha kikamilifu kufanikisha dhana ya uchumi wa Bahari, ikiwa ni utekelezaji wa Mpango mkuu wa Maendeleo wa Dira Mpya ya 2020 – 2050