Zanzibar hadi Dar kwa meli

0
264

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na abiria mbalimbali aliosafiri nao kwa meli ya M.V Kilimanjaro 4, alipokuwa akiondoka katika bandari ya Malindi Zanzibar, akielekea mkoani Dar es Salaam leo tarehe 05 Septemba, 2022.