Waziri Nape msibani kwa Kapembe

0
82

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akisaini kitabu cha maombolezo mkoani Tanga, kufuatia kifo cha Mwandishi wa Habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Joachim Kapembe aliyefariki dunia tarehe 13 mwezi huu.

Mazishi ya Kapembe yanafanyika leo alasiri katika makaburi ya Kange mkoani Tanga.