Baada ya Rais Magufuli kuwataka Wateule wake akiwemo Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamis Kigwangalla na Katibu Mkuu Prof Adolf Mkenda kumaliza tofauti zao
Waziri Kigwangalla kupitia Mtandao wa twitter amesema kuwa yeye na katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Mkenda wamemaliza tofauti zao na hali ni shwari