Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao cha kujadili maendeleo ya michezo nchini, kikao kilichofanyika jijini Dar es salaam.

