Waziri Mkuu akutana na wadau kuhusu mradi wa kufua umeme

0
277

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha utekelezaji wa haraka wa maagizo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu mradi wa kufua Umeme wa mto Rufiji, kilichofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar Es Salaam, Julai 31, 2019