Waziri Lugola ateta na Wafanyakazi

0
471

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo jijini Dodoma na kuwataka Wafanyakazi hao kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kuwawezesha wananchi wanaohitaji huduma kutoka katika Idara na Taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo kupata huduma hizo kwa urahisi na kwa wakati.