Kitaifa WAZIRI DKT. MPANGO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, DODOMA By TBC - February 23, 2021 0 387 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Waziri wa Fedha na Mapingo, Dkt. Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma. Dkt. Mpango anazungumza kuhusu maendeleo yake ya kiafya baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa muda wa siku 14.