Kitaifa Watanzania washauriwa kufuga Wanyama pori By Hamis Hollela - February 11, 2020 0 161 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais John Magufuli amewashauri Watanzania kufuga Wanyama pori ili kutumia fursa hiyo kujiingizia kipato Rais Magufuli ametoa ushauri huo alipotembelea katika bustani ya wanyama ya Dar es salaam Zoo iliyopo jijini Dar es salaam.