Watanzania wanaoishi nje watakiwa kuwekeza nchini mwao

0
359

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na viongozi wa Watanzania wanaoishi nchini Uganda na kusema kuwa serikali inaendelea na mikakati yake ya kukuza uchumi, na kuwataka Watanzania wote wanaoishi nje ya nchi kuwekeza nchini mwao.