Watakiwa kuongeza kasi ya utendaji kazi

0
274

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na viongozi pamoja na watumishi wa Ofisi yake na kufuturu nao kwenye makazi yake jijini Dodoma, huku akiwataka kuongeza kasi ya utendaji kazi ili serikali iweze kufikia malengo iliojiwekea.