Wapo Bungeni

0
163

Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wamevuliwa uanachama na chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya Baraza Kuu la chama hicho kutupilia mbali rufaa yao ya kupinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho, leo wamefika bungeni jijini Dodoma kuendelea kushiriki vikao vya bunge la bajeti.