Wananchi waunga mkono kampeni ya TFS

0
145

WANANCHI wa  vijiji vitatu  vya kata za Kambikatoto na Mafyeko Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, wameridhia kutoa  eneo la misitu lenye ukubwa wa hekta zaidi ya laki moja  ili liwe hifadhi ya misitu, ambalo litahifadhiwa na Wakala wa huduma za Misitu Tanzania TFS , ili kuthibiti uharibifu wa mazingira

Wakala  wa  huduma  za  misitu  Tanzania TFS Imeomba  eneo  hilo ili kutunza usholoba wa wanyama  wanaotoka hifadhi ya Ruaha kwenda hifadhi ya Katavi na pori  la  akiba  la  Piti.