Wakazi Nyanza wajitokeza mapema kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

0
219

Wakazi wa mtaa wa Nyanza katika Halmashauri ya Mji wa Geita wakiwa wameiitokeza kujiandikisha katika Daftari la kudumu la Wapiga Kura, zoezi lililoanzaa hii leo na linatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 14 mwaka huu.

Mkuu wa mkoa wa Geita, – Robert Gabriel ndiye aliyewaongoza Wakazi hao wa mtaa wa Nyanza katika kujiandikisha katika Daftari hilo la Kudumu la Wapiga Kura.