Kitaifa Waislamu watakiwa kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad By Hamis Hollela - November 10, 2019 0 178 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mufti wa Tanzania,- Sheikh Abubakar Zubeir ametoa wito kwa Waumini wa Dini ya Kiislam nchini kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad S.A.W yanayosisitiza kuwa na Subra, Ukarimu, Kupenda Watu, Kuvumiliana na kusameheana.