Waislamu Kigoma wafanya Dua maalum

0
406

Mamia ya Waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Kigoma wamefanya dua maalum ya kuwaombea watoto waliouwa mkoani Njombe takribani mwezi mmoja uliopita.

Dua hiyo imeongozwa na Mkurugenzi wa Taasisi inayounda Umoja wa Waislamu katika imani JAMAATUL IMAN Sheikh SABAS ALKUBRA.

Akizungumza wakati wa Dua hiyo ALKUBRA amewataka Watanzania wote kuendelea kudumisha amani na utulivu wa nchi.