Wadau na waombolezaji mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Azam Media kwenye..

0
349

Wadau na waombolezaji mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Azam Media kwenye shughuli ya kuwaaga wapendwa watano wa Azam Media Limited waliotangulia mbele za haki jana Jumatatu, Julai 8, 2019.


Waliofariki kwenye ajali ya gari iliyotokea kati ya Shelui na Igunga.
Ajali hiyo iletokea wakiwa njiani kuelekea Chato kwa ajili ya kwenda kuonesha shughuli ya uzinduzi wa mbuga iliyopo Chato chini ya usimamizi wa TANAPA ambapo mgeni rasmi ni Rais John Magufuli

Mkurugenzi wa Shirkika la Utangazaji Tanzania (TBC) Ayub Rioba akitia saini kitabu cha maombolezo
Mmiliki na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa, Said Salim Bakhresa akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe katika ofisi za Azam Media Ltd
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akitia saini kwenye kitabu cha maombolezo.
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo.
Mkurugenzi wa ITV & Radio One Joyce Mhavile akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu.