Waandishi wa habari na elimu kuhusu chanjo

0
130

uhimu kwa Waandishi wa habari nchini kuwa na uelewa juu ya chanjo, kwani itawasaidia wanaporipoti habari mbalimbali kuhusu chanjo.

Pia amewataka kuwahimiza Wazazi wanaopeleka watoto kupata chanjo kuuliza kwa wataalam wa afya kuhusu aina na umuhimu wa chanjo wanayopatiwa watoto wao.

Wiki ya chanjo Afrika inatarajiwa kuanza tarehe 24 hadi 30 mwezi huu, ikiongozwa na kauli mbiu inayosema kuwa “chanjo hutuleta pamoja.”