VIDEO: Waliounguliwa mabanda ya biashara Tegeta wazungumza

0
326

Wafanyabiashara katika eneo la Tegeta Nyuki jijini Dar es salaam, ambao wamepoteza mali zao kufuatia moto kuteketeza mabanda yao, wameviomba vyombo vya usalama kuweka mazingira ya uharaka katika kukabiliana na matukio kama hayo.