Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya – MUST, -Aloys Mvuma akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe msingi katika ujenzi wa Maktaba ya chuo hicho, ambapo mgeni rasmi ni Rais John Magufuli ambaye anaendelea na ziara yake mkoani Mbeya.