Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ocholla Mabongo kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la posta Tanzania (TPC).
Brigedia Jenerali Mabongo ni mkuu wa kitengo cha TEHAMA wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.