Usiku wa “The Royal Tour”

0
126

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha ni miongoni wa viongozi waliohudhuria tamasha la Usiku wa The Royal Tour ndani ya viwanja vya Mlimani City

Tamasha hilo limekutanisha wadau wa utalii, wasanii na viongozi mbalimbali ili kuunga mkono mafanikio katika sekta ya utalii yaliyo chagizwa na Filamu ya The Royal Tour.

Tamasha hilo litashereheshwa na wasanii mbalimbali akiwemo Koffi Olomide kutoka Nchini DRC, Mrisho Mpoto, bendi ya wanne Star na FM Academia Original