USHURU WAONGEZEKA KWENYE NYWELE BANDIA

0
134

“Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimekubaliana kuongeza ushuru wa forodha kutoka asilimia 25 hadi asilimia 35 kwenye nywele bandia zinazotambulika kwa Heading 6704.


Hatua hii inalenga kulinda wazalishaji wa ndani wa bidhaa hizo, kuongeza ajira pamoja na kuongeza mapato ya Serikali.”Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba