’Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimekubaliana kutoza ushuru wa forodha kwa kiwango cha asilimia 35 kwenye sigara za
Kielektroniki zinazotambulika kwa HS Code 8543.40.00.
Lengo la hatua hii ni kulinda mnyororo wa thamani wa zao la tumbaku nchini, kulinda viwanda vya ndani, pamoja na kuongeza ajira.” Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba