Watumishi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wakiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala huo Mhandisi Rogatus Mativila, wakiendelea na ukarabati wa barabara ya Chalinze – Segera katika eneo la Kimange wilayani Chalinze mkoani Pwani lililoharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua siku ya jana kama ilivyokuwa ikiripotiwa na #tbconline
Endelea kufuatilia taarifa zetu kupitia #tbconline #tbc1 kwa habari zaidi.