Ujio wa Aridhio wasanii Waunga Mkono

0
293

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) likiwa ni sehemu kubwa ya kukuza sanaa na wasanii nchini, limekuja na mfumo mpya wa upashanaji Habari na hii ndio ARIDHIO: Kuanzia Jumatatu hii Machi 30 Kaa tayari kushuhudia mfumo huu mpya kutoka TBC – Ukweli na Uhakika Zaidi

studiompya #mambomapya

aridhio