Ufunguzi wa shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere

0
187

Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anatarajiwa kufungua shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha, Pwani.

Matangazo hayo yatakujia Mbashara Kupitia TBC1, TBC Taifa na YouTube channel ya TBCOnline