Tutazifunga namba ila hatutazigawa kwa watu wengine ndani ya siku 90

0
169

“Kuna baadhi ya nchi ambazo mitandao yetu ina roam kwa hiyo mtu ana uwezo wa kuhakiki akiwa huko lakini kwa wale ambao wanakwenda kwenye nchi ambazo uwezo huo haupo baada ya tarehe 13 hizi namba zitakuwa zimefungwa lakini zitaachwa bila kuwa assigned [kupewa] watu wengine kwa muda wa siku 90.

Hivyo tunategemea kwamba huyo mtu aliyesafiri akirudi ataweza kuwasiliana na mtu wa huduma na ataweza kupata huduma.”

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Bakari