Ujumbe wa mwisho wa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa Watanzania kabla ya kufariki Dunia Oktoba 14 mwaka 1999 katika Hospitali ya St Thomas nchini Uingereza
“Najua nitakufa, sitapona ugonjwa huu, nawaacha Watanzania wangu, najua watalia sana, nami nitawaombea kwa Mungu, naondoka nikiwa nimewaachia Taifa moja lenye Umoja na amani, wosia wangu kwao waipende nchi yao kama wanavyowapenda Mama zao, wajue hawana nchi nyingine zaidi ya Tanzania”.