Baadhi wa wakazi wa mkoa wa Mtwara waliojitokeza katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo kumsubiri Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kupita kwenye maeneo hayo akitokea mkoani Lindi.
Rais Samia anatokea mkoani Lindi ambapo alikuwa mgeni rasmi
katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani.