TIRA kuwafikia zaidi watanzania

0
109

Mamlaka ya usimamizi wa bima hapa nchini TIRA imedhamiria kufikisha elimu ya bima kwa asilimia 50 ya watanzania ifikapo mwaka 2025 kutoka asilimia 15 ya sasa

Akizungumza katika maonesho ya 46 ya biahsara kimataifa ya Dar es salaam, Mkurugenz mkuu wa TIRA, Baghayo Sakware, amesema baada ya wizara ya fedha kutoa waraka wa kuwepo kwa bima za lazima katika eneo la Vivuko, masoko na majengo ya biashara itasaidia kuongeza uelewa kwa watanzania juu ya matumizi ya bima