Kongamano la kujadili ‘Tija na usalama wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani, Tanga’.
Ni Jumamosi Oktoba Mosi 2022 kuanzia Saa 9:00 alasiri.
Matangazo haya yatakujia moja kwa moja (mbashara) kupitia TBC1, TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC Online