TBC KWENYE MAONESHO YA VIJANA

0
143

Baadhi ya Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC ) , wakiwa katika maandalizi ya banda yanapofanyika maonesho ya wiki ya Vijana wilayani Chato mkoani Geita.

Maonesjo hayo yanafikia kilele chake hapo kesho.