Baada ya taarifa ya Habari ya saa mbiliĀ usiku Televisheni yako ya Taifa -TBC, itakuletea marudio ya kauli ya Rais Dkt. John Magufuli aliyoitoa mapema leo Ikulu jijini Dar Es Salaam alipokutana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
