Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo Jumamosi ya Desemba 14, 2019 amewaongoza Watanzania kuipokea ndege mpya iliyokuwa inashikiliwa nchini Canada aina ya Bombadier Dash 8 – 8400 katika Uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kuachiwa
Ndege hiyo inakuwa ndege ya 8 kuagizwa na Serikali ili kuja kufanya kazi za usafirishaji nchini Tanzania chini ya Shirika la Ndege la ATCL