Swali na Lengo katika Sensa ya Watu na Makazi

0
119

Swali; Tafadhali nitajie majina ya watu wote waliolala katika kaya hii usiku wa kuamkia siku ya Sensa, yaani usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne ya tarehe 23 Agosti, 2022 ukianzia na jina la Mkuu wa Kaya.

Lengo; Majibu ya swali hili yataiwezesha Serikali kupata idadi ya watu wote nchini na wastani wa idadi ya watu katika kaya.