Star Times yatoa gawio kwa Serikali

0
179

Kampuni ya Star Media Tanzania ambayo ni mbia na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wametoa gawio la shilingi milioni 500 kwa serikali

Hii ni mara ya kwanza kwa Kampuni huyo kutoa gawio kwa Serikali