Sirro Balozi mpya Zimbabwe

0
111

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Simon Sirro kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe.

Kabla ya uteuzi huo, Sirro alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.