Sio Panga

0
243

Silaha haramu sio panga bali ni silaha zozote za kiraia, nyepesi na ndogo zisizo na umiliki ambazo mtu amefuata taratibu za kisheria kuzipata.

https://www.instagram.com/p/CkIBixEIUyL/?igshid=YmMyMTA2M2Y=

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa kitengo cha Usimamizi, Udhibiti wa usajili Silaha na Leseni kutoka jeshi la polisi nchini
Reinada Millanzi
katika mahojiano kwenye kipindi cha Jambo Tanzania.

“Sio panga, silaha yoyote inayotumia risasi, ukiwa unamiliki na hujapitia kwenye taratibu za kisheria hiyo silaha ni haramu hata kama umejitengenezea mwenyewe au kiwandani.” amesema Millanzi

https://youtu.be/ca-8FXSuZ5g