Simba yaitandika Biashara United ya Mara

0
170

Simba SC imeitandika Biashara United bao moja kwa bila katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa karume mkoani Mara

Bao pekee la Simba limefungwa na Bernard Morrison  na kuipa Simba alama 3 muhimu huku ikifikisha jumla ya alama 42 katika msimamo wa ligi hiyo 

Simba hadi sasa imecheza mechi 18 ikiwa na michezo miwili mikononi huku Yanga ikiongoza ligi hiyo ikiwa na alama 46 baada ya kucheza mechi 20