SIMANZI JAMHURI

0
243

Wakazi wa mkoani Dodoma tayari wako ndani ya uwanja wa Jamhuri kuanzia saa 12 asubuhi milango ilipofunguliwa, kwa ajili ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli.

Uwanja huo wa Jamhuri ndipo mahali inapofanyika shughuli ya Kitafa ya kuaga mwili wa Dkt Magufuli ambao kwa sasa unapelekwa katika viwanja wa Bunge kwa ajli ya kuagwa na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.