Sikukuu ya EID ni Ijumaa

0
249

Waislamu wataendelea na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapo kesho kufuatia kutoandama kwa mwezi kukamilisha funga hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zuberi amesema hakuna taarifa ya kuandama kwa mwezi hivyo Waislamu wataendelea na funga na kujiandaa na sikukuu ya Eid siku ya Ijumaa.