Sheria Nne zasainiwa na Rais

0
129

Sheria Nne zilizopitishwa katika mkutano wa 16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tayari zimesainiwa na Rais na kutangazwa katika Gazeti la Serikali.