Serikali yaondoa tozo ya Sh. 100 kwenye mafuta

0
177

Kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta katika Soko la dunia, Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeondoa Tozo ya Shilingi 100 kwa kila lita ya Dizeli, Petroli na mafuta ya taa zilizopaswa kulipwa na watumiaji.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na wizara hiyo imeeleza kuwa punguzo hilo litadumu kwa muda wa mienzi mitatu kuanzia mwezi Machi hadi Mei 2022