RC Makonda: Rais avunja rekodi ujenzi wa Lami

0
160

“Tangu Rais Magufuli aingie madarakani amewezesha ujenzi wa Lami mpya uliovunja rekodi ya miaka yote 50 ya uhuru, amejenga kilomita 807 mpya ndani ya miaka 4 wakati kwa miaka yote 50 tulijengewa kilomita 402”

TBConlineUpdates

Paul Makonda
Mkuu wa mkoa DSM.