Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Shein ahimiza ushirikiano ili kukuza uchumi wa Taifa

0
243

Rais  wa ZANZIBAR Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Dkt. ALI MOHAMED SHEIN  ametoa wito kwa wananchi visiwani ZANZIBAR kuendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa bidii ili kuongeza kasi ya kukuza uchumi wa taifa.

Rais Dkt. SHEIN ametoa wito huo kisiwani UNGUJA katika baraza la EID lililofanyika katika viwanja vya LANGONI Kisiwani UNGUJA.