Rais Samia ziarani Afrika Kusini

0
121

Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria nchini Afrika Kusini, kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini humo.