Rais Samia Suluhu Hassan, leo ametimiza miaka miwili tangu alipoingia madarakani.

0
144

Rais Samia Suluhu Hassan aliapishwa kuwa Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Machi 19, 2021 kufuatia kifo cha Rais wa awamu ya tano Dkt. John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021