Kitaifa Rais Samia kulihutubia Taifa By Clement Silla - August 22, 2022 0 146 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan saa tatu usiku huu atalihutubia Taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia vyombo vyake vya TBC 1, TBC Taifa na Youtube chaneli ya TBConline vitakuletea hotuba hiyo.